Hi!

Hi!

Chidbwax

New Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Mapenzi yanautesa moyo wangu. Niliwahi kupenda msichana bali alinitenda kwa kutembea na kk yangu wa damu moja. Nikaachana nae nikapata mwengine nae akatembea na rafiki yangu kipenzi. Jamani nina mkosi gani mm. Ninaomba ushauri wenu au km kuna msichana alietendwa km mm tuungane pamoja ninaimani huyo atakuwa na mapenzi ya kweli nami
 
Pole kaka, usikate tamaa. Shukuru Mungu uliwagundua kabla hamja fika mbali
 
Huna mkosi, badili tu aina ya wasichana uliozoea kutoka nao.

Pole.
 
km kuna msichana alietendwa km mm tuungane pamoja ninaimani huyo atakuwa na mapenzi ya kweli nami

Sasa tukusaidiaje weye kijana, watoto wawili hao wamejitokeza fasta kukudaka kwenye uzi wako, sijui umekimbilia wapi tena!
, afu utaendelea kusema una mkosi
 
Loreen alitendwa,mnaweza mkawa pamoja....duh,tena leo ndo alikuwa anatafuta mtu....pole sana,utampata tu mwaminifu.
 
Sasa tukusaidiaje weye kijana, watoto wawili hao wamejitokeza fasta kukudaka kwenye uzi wako, sijui umekimbilia wapi tena!
, afu utaendelea kusema una mkosi

We jG mbona speedy hivyo?
 
Hiyo ID yako kama unatumia BWAX punguza inaweza ikawa chanzo
 
mhm?
Aendelee kubadili mpaka lini Da' Lizzy? Si ndo mwanzo wa kuitwa playboy sasa?

Abadili AINA, yani atafute ambae ni tofauti na aliozoea kuwatokea na sio abadili wadada kila siku.
 
pengine you are not good in bed!get your bedroom positions right,abandon classic style
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom