Nani Muislam hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani Muislam hapa?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NGULI, Jan 17, 2012.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa.watu kimya,
  nani mwislamu hapa?? halafu akamchukua moja nje na kumwomba amchinjie mbuzi.
  halafu akarudi msikitini na panga yenye damu na kuuliza tena.nani mwislamu hapa?waumini wakamnyooshea imam kidole kwamba ndo mwislamu,Imam akasema"jamani mi kuswalisha siku mbili ndo mniite mwislamu?mi hapa najifunza"halafu jamaa akasema "nataka unisaidie kumchuna mbuzi"
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Not funny...
   
 3. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  aah GG acha kumbania bwana mi nmecheka, sema msaidie kuitupia kulee kwenye vituko na kuchekeshana!
   
Loading...