Upendo wa mume na mke uwe namna hii...tayari kubebeana mizigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upendo wa mume na mke uwe namna hii...tayari kubebeana mizigo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by only83, Jan 16, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  [FONT=&quot] Jamaa mmoja alimpa mimba sekretari wake,na baada ya kufikiria sana hakatamani kumwambia mke wake na mazungumzo yalikuwa hivi;

  [/FONT]


  [FONT=&quot]Mume: Mke wangu leo nimepata tatizo kubwa ofisini.

  Mke: Usiseme hivyo mume wangu, tatizo lako ni tatizo langu, usiseme umepata tatizo bebi sema tumepata tatizo kubwa ofisini.

  Mume: Sawa mke wangu, ni hivi tumepata tatizo, tumezaa na sekretari wetu.[/FONT]

  Mke:kilio na kuzimia.......
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaaaaa kwa kweli nilikuwa nimechoka ila imenibidi nicheke sana tu dah kweli familia
   
 3. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  sasa kwa nini alilia na kuzimia? Si alikwisha kusema tatizo la mume ni tatizo lake?
   
 4. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  acha kabisa ile ni habari nyingine kwanza kama angekuwa ni muhehe tayari ingekuwa niagieni
   
 5. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo familia huwaga naijuaga,huyo mama hanaga mtoto ndo maana kazimiaga.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Matatizo mengind siyo!
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni nouma japo jamaa kafanya jambo zuri kukiri mbele ya wife
   
 8. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  ha ha haaa...sikutaka kucheka leo lakini wacha nibadili uamuzi tu
   
 9. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Hahahahahahahahahahahaha;bora tu kumkata nanihii huyo mwanaume;looooooooooo!!!
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh...................
   
 11. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Ukimaliza ku-load ulete maoni...
   
 12. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mke hakukosea si aliambiwa watakuwa mwili mmoja, wapendane kwenye shida na raha.
   
 13. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa leo ina load full,why?
   
 14. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hiyo ndo swag yake 2012
   
 15. ruaaika

  ruaaika Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaaha, mke sio mkweli kwenye ahadi zake!
   
 16. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Samahani sana only83, naomba usikwazike. Nasema hivi: utani mzuri hauna conclusion kama hiyo niliyobold. utani unakuwa mtamu pale imagination za watu zinafanya kazi bila kusaidiwa na conclusion kama ulivyoweka. Joke hii uliyoleta ni superb ila kwangu mimi conclusion imeondoa utamu wooote!
   
Loading...