Kibogoyo atapeta siku ya hukumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibogoyo atapeta siku ya hukumu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mgombezi, Feb 26, 2012.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Padre alikuwa anahubiri :
  'Biblia inasema kuwa wale wasiotubu na wanaendelea kutenda madhambi watalia na kusaga meno siku ya hukumu'.
  Hapo ndipo Kibogoyo mmoja alipocheka na kumnong'oneza mwenzie akisema: 'Hakika sisi tumebarikiwa kwani adhabu ya kusaga meno kwetu hamna.., lol
   
Loading...