Natangaza vita na bifu la wazi kati yangu na excellent wa jf, pata a-z hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza vita na bifu la wazi kati yangu na excellent wa jf, pata a-z hapa.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wa kusoma, Feb 23, 2012.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Hili litakuwa zaidi ya lile la Sugu na Ruge ni zaidi ya uhasama wa cdm na ccm, ni ngoma nzito zaidi ya vita ya Bush na Osama, ni uadui zaidi ya ule wa Kibaki na Odinga, ni chuki kubwa zaidi ya ile ya Mugabe na Tshangilai. Si nyingine ni vita kati yangu mimi WA KUSOMA vs EXCELLENT. Sababu ninazo, nia ninayo na uwezo pia ninao.


  Alinichafua sana hlf akakimbia sasa amerudi na amepost thread nyingi sana humu na kila nikimrushia kombora analikwepa sasa namwambia siku zake zinahesabika humu JF. Najua ana wapambe wake humu akina KABAKABANA, AFRODENZ, JAKUMBUMBA na wengine kibao jichanganyeni hapa niwalipue live. Kudadadeki.
  By;
  WA KUSOMA
   
 2. Cookie

  Cookie Content Quality Controller Staff Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 1,920
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli kweli
   
 3. M

  Makunga JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 497
  Trophy Points: 80
  mmh! Yamekuwa hayo tena.
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bhangi za usiku hizi,unawajua wapambe ukiwaona wewe?wana pua ngapi?miguu mingapi?au unaropoka tu?
   
 5. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakuja,Mx
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...sio tatizo lako ila matokeo yamekudhuru na huna cha kufanya, pole sana.
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  alichora samaki kwenye pepa huyu, si unacheki hata uandishi ni wa kibongo fleva kabisa
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wifi una mdomo, ukipigwa mie na kakako hatukuamui. Ingia ndani bana!
   
 9. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  wa kusoma cheichei
   
 10. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hehe huyu wa kuandika ana matatizo kweli wifi,mimi mtulivu saana.
   
 11. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Eleza ni wapi pana tatizo ili tujue amekuchafua vipi. Nahisi kama una mzongo wa mawazo baada ya kufeli kule kwa Dr Ndalichako
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  makubwa!excellent kulikoni mkuu?
   
 13. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,929
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  Hapa ndipo ninapommiss Rose80 atuimbie mabata madogomadogo yanaogelea!:coffee:
   
 14. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hii vita itafanyika hapa jf?,sijaelewa
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  habari yako kiongozi
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na wewe umeliona hilo..
   
 17. Cookie

  Cookie Content Quality Controller Staff Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 1,920
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Poa tuu Mkuu .... ila hapa hapanifai, hawa Wakuu hawakawii kunichanganya na mimi
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mkuu hata sielewi......alikuwa na kauli mbaya kwenye post zangu kule jokes,akaja kupigwa ban,
  kwahiyo anadhani mi ndo nilimpiga ban.
   
 19. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mh hujatuonesha ‘cause of action‘ ndugu..
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Thanks for promotion,the way u act,the way u make me famous
   
Loading...