Miaka Mitano Ndani ya JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka Mitano Ndani ya JF

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MAMMAMIA, Feb 25, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  "Siku zinapita, na zikishakupita hazirudi tena"
  Hapa miaka imepita, MINNE.
  Nakumbuka tarehe kama leo, 25 Februari 2008
  nilipojiunga na Jambo kama mchezo tu,
  baadaye ikaja Jamii Forums, nikaanza kuganda na kuganda.

  Sasa JF imekuwa sehemu ya maisha yangu.
  Kwa hivyo, badala ya kujipongeza mimi,
  ninawapongeza waasisi wa JF,HONGERA!
  ninaipongeza JF, HONGERA!
  ninawapongeza WANAJF WOTE, HONGERA!
   
 2. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nawe hongera pia mkuu,
   
 3. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hongera sn mkuu!
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hongera sana
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hongera sana mammamia ni kama jana tu wewe una miaka mitano wengine leo ndio siku ya tano wengine wiki ya tano ndivyo ilivyo..

  congrats mkuu...
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hongera sana mazahandred

  sasa umekua, inabidi uanze shule kabisa.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nashika nafasi hii ajili ya urembaji baadaye ..
  Hongera sana kwa sasa
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hongera mkuu 5yrs si mchezo,wengine ndio kwanza tuna mwaka 1 na na miezi minne hiv,ila 2008 nilikuwepo sana bongocelebrity na ndio ilikua juu sana kipindi hicho(tulikua na kina hombiz,matty,black manmen,nyani ngabu,eng nlitorela).
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Asante sana Mkuu

  Asante sana Binti Mtambuzi

  It's "Excellent" kupata Hongera na Baraka zako

  Asante sana Mkuu. "C'est la vie!, Dasn ist Leben!, Asi es la vida!, ...." Ndio Maisha, Mkuu! wakati mmoja anatambaa, mwengine wanapiga mbio na mwengine anaendea mkongojo. Cha muhimu sote tuko safarini.

  Asante sana Kongosho, nimeshamaliza Kinder sasa ninaanza la kwanza.
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Asante sana Mkuu, baadae tutakusanyika ku"toast for this"

  Asante sana. Umetaja watu wakubwa sana. Mungu awabariki wote.
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Katika miaka mi5 hujawahi kula Ban?
  O/wise congratulation
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kabisa...sijui hata imekaaje na huwaje watu wakalambwa nyekundu.
  Asante sana.
   
 13. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hongera sana Mkubwa.
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  I'll drink to that...
  Hongera na asante MammaMia kwa kuwa mmoja wa watu nisiochoka kuwasoma humu.
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Utasutwa ..
  Acha uongo we mwana
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ntakupiga....
  Acha wivu!!
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Jaribu ..
  Mbavu zenyewe kama betina wa gazeti la Sani .. kimbau mbau ..
   
 18. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hongera..

  Hata hivyo ni miaka minne...si mitano... Hongera sana.

  Weka na profile yako basi please..
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,528
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  kwako wewe jf ni nyumbani hadi akina sie tunafaidi kwa raha zetu kwa kuwakuta wakongwe kama nyie hongera sana mkuu
   
 20. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Asante Lizzy. Hata mimi huwa ninafaidika na mawazo yako hapa.

  AD Mkuu, kwa nini unamwonea pacha wako?

  Mapacha utawajua tu, usione wanagombana ukajaribu kutia lako.
  Asanteni nyote

  Asante sana mara mbili. Unajua uzee tena, nilihesabu kwa vidole (2008, 2009, 2010, 2011, 2012).
  Asante sana kwa kunirejesha katika msitari.

  "JF ni Nyumbani kwetu" ni maneno ya Marehemu Mpendwa wetu Regia - R.I.P.
   
Loading...