Slogans za ku-edit

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
"CCM HAIKUBALIKI, TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA"

Na wewe edit slogan ambayo unaona maana yake inamantiki kwenye jamii
 
"ccm ilipo na nguvu wakazi wake wengi ni vilaza ('common people' who kwnows nothing about tomorrow)
 
SIASA NI KILIMO(Awamu ya kwanza na ya pili ya urais)
KILIMO KWANZA(Awamu ya 3 ya urais)
SIASA KWANZA (Awamu ya 4)
 
Mnaofikiria kupigia kura vyama ndio mnaotuangusha. CHADEMA au CCM wakiweka jiwe utalipigia kwa sababu wewe ni shabiki wa chama hicho. Hebu tutoke huko jamani tuchague mgombea yoyote atakayesimamia maslahi na ustawi wetu kwa kiwango cha juu kinachotarajiwa na kila mtanzania bila ya kuangalia chama cha siasa anachotoka.
 
Scanning...100%
No threat found..
Mwl J.K Nyerere alituachia maadui watatu lakini sasa wameongezeka-UJINGA,MARADHI,UMASIKINI na CCM.
 
Back
Top Bottom