Maana kila nikiingia naishia kucheka tuu kwa jinsi member wanavyochangia na kujibiana ktk topic. Kiasi kwamba nashindwa kutoa mchango. Lkn haipiti Siku bila kuingia humu.
Hakika penzi langu kongwe kama fasihi simulizi,kwani nakupenda kama Ngoswe alivyo mpenda Mazoea,wala sina madem wengi kama Joti wa kilio chetu,nawe ucwe kama Furaha wa orodha,sintakutenga kama...
basi kipindi hicho kabinti nachipukia
kabyuti byuti ila sio sana.
Nimeombwa kutolewa out na kijana wa haja
baada ya kukalkuleti nikawa nishafika bei, nikakubali kutoka naye.
As usual, kama...
>
>Bakari is a house boy who every day drinks the wine of his boss and puts water in the bottle to replace what he drank.But the boss having suspicions as for the quality of the wine, he...
Baadaya ya Ijumaa Pasaka hufuata! Our principle in our church kwamba Ijumaa Kuu ni siku ya kunywa na kula pamoja na kushangilia kwani ni siku ya ukombozi hivyo hakuna haja ya kulia au kuhuzunika...
Jamaa moja baada ya kutoka kijijini akadai alikuwa New york.
Siku moja wenzie kijiweni wakawa wanamuhoji kuhusu lile jengo refu kuliko yote duniani.
Jamaa: lile jengo nilipanda mpaka gorofa ya...
wiki hii bwana nimekutana na kongosho alikuja ofisini kwangu kwa shughuli zake binafsi ila hakunitambua kuwa mimi ndio C.T.U ila mimi nimemtambua kwa uwezo wangu binafsi katika masuala ya...
Kerala,Gods Own Country, is blessed with immense beauty andexoticism. It is very famous all over the world for its touristplaces that offer a variety of attractions for all age groups...
Nawapenda sana dada zangu wa kibongo, lakini sijui kwanini wengi wengu mnapenda sana kunichuna tu, au kwakua mimi ninaroho nzuri.
Sasa naomba mmoja wenu aone umuhimu wa mimi kupata mke jamani sio...
Wana jf pametokea ajari ya gar ya Police na Pick up Kilwa Road maeneo ya Bandalini pale BP,kwa wale wana jf waishio Mbagala epukeni njia hiyo maana kuna folen balaa iliyotokana na ubishi wa nan...
wadau, mimi naomba au napenda nielimishwe :help: kuhusu hii tabia ya watu (hasa wanaume) kutemea mate mkojo alioukojoa yeye mwenyewe (hasa anapokojoa kandoni mwa-barabara/njia).
je, kuna...
Nawasalimu wote! Imeamriwa usile nyama siku ya Ijumaa kuu. Nawakumbusha wale wenzangu na mimi mnaowahi kwa "mangi" kupata supu asubuh asubuh. Pia tukumbuke kwenda kwenye ibada. Asanteni, maandalio...
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni...