Kuna watu wamekuwa wakiniambia eti nikagombee ubunge kwa tiketi ya cdm kule arusha eti kwa vile jina la mbunge aliyeenguliwa GODBLESS na hili la kwangu GODLESS yanalandana. Mimi nasema siwezi...
Dah, nimechaka kweli leo japo tuna majonzi ya kuondokewa na Kanumba...Katika kipindi cha mkasi ambacho kimerushwa maalumu coz ilikuwa wakati Lulu anahojiwa...Huwa kwa chini pembeni kuna Methari za...
yaani hapa nimenuna kweli kwelì!
Baada ya kusaka usingizi muda mrefu ulipoanza kukolea jirani yangu amerudi!
Na usingizi wangu umekata!
Jirani huyu sijui amefunga spika za matangazo kwenye...
Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mtu, mwenyewe akarudi na kugonga mlango. Mke akamwambia jamaa pitia dirishani kimbia,jamaa akaanza kubisha eti nje kuna mvua, mwanamke akamwambia jamaa ana hasira...
Waswahili walisema kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho na sasa uvumilivu wangu kwa hawa watu wanaojiita TANESCO umefika mwisho sio siri TANESCO nasema mmenichoshana mambo yenu ya ajabu...
Jamani nilikua nimesahau kama leo ni ijumaa kuu, nmeamkia supu ya ngo'mbe na chapati saa hizi natoka kula wali nyama ile nmemaliza naenda kunawa muhudumu ananambia ''ijumaa kuu njema'' apo ndo...
Siku moja baada ya kufanikiwa kulitwaa jimbo la Arumeru Mashariki, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kuwa sasa yuko tayari kuolewa na Mbunge mteule Joshua...
Hii ni moja ya zawadi nyingi utapata,
matokeo ya kukubali Shabhan wamtaka,
Hakika kwangu vitu vyoote utapata,
mengi maneno yangu yasikutie shaka.
U mzuri, mcheshi na mpole,
mkarim, mkweli...
Baba John aliona mkewe amepunguza mapenzi kwake,na hiyo yote ni baada ya mkewe kujifungua. Baba John akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto.,akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye manyonyo...
Jamaaa mmoja alikua katoka klabu kalewa chakari,na alipofika kwake alikua ameweka konyagi kwenye mifuko yake ya nyuma.Mara akawa ameshikilia funguo na kuanza kufungua mlango,akawa anahangaika sana...
Few weeks ago alisema atakufa rais wa nchi yoyote watu wakabeza, wakasema may be Mugabe, Mandela na wengneo walio wagonjwa ila nijuavyo Bingu hakuwa mgonjwa kiasi cha kutokuwepo ktk list ya...
Mh Lema, aambiwa kesi hii lazima kesi hii"ikutie kidole" na ndugu Zuberi Mwombeji
My Take;
Maadili ya utwala wa sheria uwapi kama kiongozi wa serikali kama huyu anathubutu kumwambie kiongozi...
WanaJf wa majukwaa yote, Juniors, Members, Seniors, Experts na premiums, mabibi na mabwana;
Nachukua nafasi hii adhimu kuwatakia wote muwe na wakati mzuri msimu huu wa sikukuu ya Pasaka...
Karibuni wanaJAMVI tuombe/tusali kabla ya kulala. Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema mengi aliyotutunuku siku nzima. Usiache kuomba/kusali kabla ya kulala na unapoamka.
NAWATAKIA USIKU MWEMA NA...
Wakuu mida ya ibada imekaribia. Tujiandae bila kuchelewa.
Tusitafute visingizio manake tunajitahd kuwah makazini lakin church ful kuchelewa. Ijumaa kuu njema!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.