Mambo ya U.S.A | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya U.S.A

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jovegg, Apr 5, 2012.

 1. J

  Jovegg Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamaa moja baada ya kutoka kijijini akadai alikuwa New york.
  Siku moja wenzie kijiweni wakawa wanamuhoji kuhusu lile jengo refu kuliko yote duniani.
  Jamaa: lile jengo nilipanda mpaka gorofa ya mwisho,cku hiyo alitoke mzee moja akawa anatembea huku anachechemea na bakora yake.
  Washkaji: eehe ikawaje
  Jamaa: aliteleza mazee kutokea gorofa ya mwisho hadi chini
  washkaji: si alikufa!!?
  Jamaa: asife vp siku tatu hewani bila kula
   
 2. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Ha ha haaaaa hii imebidi nicheke nimeipenda...siku tatu hewani,yaani atakufa kwa njaa sio kuvunjika atakapofika chini ha ha haaaaa
   
 3. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hii kali,nimeipenda sana.
   
Loading...