Nyang'omango
Senior Member
- Nov 6, 2011
- 194
- 87
Wana jf pametokea ajari ya gar ya Police na Pick up Kilwa Road maeneo ya Bandalini pale BP,kwa wale wana jf waishio Mbagala epukeni njia hiyo maana kuna folen balaa iliyotokana na ubishi wa nan mwenye haki ktk ajari hiyo....