Denti akimwaga voko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Denti akimwaga voko

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by IrDA, Apr 6, 2012.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Hakika penzi langu kongwe kama fasihi simulizi,kwani nakupenda kama Ngoswe alivyo mpenda Mazoea,wala sina madem wengi kama Joti wa kilio chetu,nawe ucwe kama Furaha wa orodha,sintakutenga kama Takadini,coz cna dhiki kama watoto wa mama ntilie bali nitakupa maneno matamu kama Malenga wapya na nitakuliwaza kama mashairi ya Wasakatonge,napenda tuwe kama Kiima na Kiarifu,au fani na maudhui,penzi letu lidumu kama Fasihi Andishi,Vp upo tayari tufanye unyambulishaji na Uambishaji? Jamani nakupenda kama kumbikumbi wanavyopendana
   
 2. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aise lazima anaepewa hiyo mistar awe arts kama alikua sayans hawez kumkubalia
   
 3. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hiyo tamu mkuu.
   
 4. Tavarishi

  Tavarishi Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ............................. wapya na nitakuliwaza kama mashairi ya Wasakatonge,napenda tuwe kama Kiima na Kiarifu,au fani na maudhui,penzi letu lidumu kama Fasihi Andishi,Vp upo tayari tufanye unyambulishaji na Uambishaji? Jamani nakupenda kama kumbikumbi wanavyopendana......


  Imetulia......
   
 5. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 1,749
  Trophy Points: 280
  Ndio mana nikakuandikia BARUA NDEFU KAMA HII,sitaki nikuletee JANGA KUU LA WAZAWA,je utanipa ZAWADI YA USHINDI?
   
 6. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi ni genster i'll marry when i want coz the beautful ones are not yet born na sitaki kuleta bitrayal in the city!!!
   
Loading...