....Sometimes in Apri.....

....Sometimes in Apri.....

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
47,449
Reaction score
101,325
.....i never forget this month.....daima tunawaombea kwa mungu....
 
Mkuu naona hyo muvi inakugusa sana.. Any way, lets pray for them walale kwa amani!
 
Hivi honare botare alihukumiwa adhabu gani na yuko wapi kwa sasa, and his brother captain muganza yuko wapi na anafanya nini
 
mwenyezi mungu awalaze pema peponi wale wote waliotangulia mbele ya haki kutokana na mauaji ya kimbari pale Rwanda!
 
Mkuu hiyo ni title ya muvi yenye simulizi ya mauaji ya kimbari ya Rwanda na Burundi​



ni Rwanda mkuu...usikwepeshe historia...
 
Back
Top Bottom