Kukojoa na kutema mate......!

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
wadau, mimi naomba au napenda nielimishwe :help: kuhusu hii tabia ya watu (hasa wanaume) kutemea mate mkojo alioukojoa yeye mwenyewe (hasa anapokojoa kandoni mwa-barabara/njia).

je, kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mate ya mkojozi....????

nawasilisha......!!!!!!
:A S-confused1:
 
Hata wanawake wanafanya mimi pia sijui kwanini, labda isinuke
 
Mtu akikanyaga mkojo hautavimba nanili ....
Upepo ukivuma hauta beba mkojo kwa mashetani .... . Mate ni kinga :)

Story tulizokuwa tunapeana utotoni ....
 
Sisi kule kwetu Sumbawanga maeneo ya Kalambanzite na tarafa ya Mpui karibia na Nambogo hii kitu ya kutemea mate mkojo ambao umekojoa mwenyewe ilikua inaambatana na imani za kishirikina kwamba unapokojoa njiani ni rahisi mchawi kuja kuufanyia mkojo wako mazingaombwe.So tuliambiwa na wakubwa kwamba ukimaliza kukojoa then ukautemea mate yaani hata atokee mchawi wa wapi hawezi kuutumia mkojo huo kukufanyia mazingaombwe. Sasa sijuimakabila mengine wao wanatemea mate kwa maana zipi lkn pia mimi siku hizi baada ya kuokoka sifungwi tena na sheria kwa hiyo siutemei mate mkojo wangu baada ya kukojoa iwe barabarani au hata vichochoroni
 
Same same na huko nilikotoka.

kamanda umewaza kote huko? Inatoke
tu tunapojisaidia haja ndogo ghafla watema mate.
 
Sisi kule kwetu Sumbawanga maeneo ya Kalambanzite na tarafa ya Mpui karibia na Nambogo hii kitu ya kutemea mate mkojo ambao umekojoa mwenyewe ilikua inaambatana na imani za kishirikina kwamba unapokojoa njiani ni rahisi mchawi kuja kuufanyia mkojo wako mazingaombwe.So tuliambiwa na wakubwa kwamba ukimaliza kukojoa then ukautemea mate yaani hata atokee mchawi wa wapi hawezi kuutumia mkojo huo kukufanyia mazingaombwe. Sasa sijuimakabila mengine wao wanatemea mate kwa maana zipi lkn pia mimi siku hizi baada ya kuokoka sifungwi tena na sheria kwa hiyo siutemei mate mkojo wangu baada ya kukojoa iwe barabarani au hata vichochoroni

Wewe mkubwaa ushakutana na wachawi toka Marekani ? Hata ukiutemea mkojo ndoo mbili za mate wanakuroga tu!
 
.
Kumbe kuna mikojo aina anuai eeh.. Ngoja wenye maujuzi waje nami nielimike!

maana kuna siku watu walikua wawili faragha...nikasikia mtu akilalamika...nakojoa nakojoa nakojoaaaa!....nikasema ala...watu siku hizi wakitaka kukojoa wanatangaza.
 
Alafu mtoa mada tofautisha kwenda "HAJA NDOGO" na "KUKOJOA" ni miamala miwili tofauti .
 
wadau, mimi naomba au napenda nielimishwe :help: kuhusu hii tabia ya watu (hasa wanaume) kutemea mate mkojo alioukojoa yeye mwenyewe (hasa anapokojoa kandoni mwa-barabara/njia).

je, kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mate ya mkojozi....????

nawasilisha......!!!!!!
:A S-confused1:

Mi niliambiwa mwanaume asipoutemea mate mkojo wake,hufariki...! Hapo nikiwa na miaka kama 8-9 hivi...

Mpaka leo sijaacha!
 
Back
Top Bottom