Madada zangu wa kibongo..naomba nioe mmoja wenu.

Madada zangu wa kibongo..naomba nioe mmoja wenu.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
39,985
Reaction score
51,095
Nawapenda sana dada zangu wa kibongo, lakini sijui kwanini wengi wengu mnapenda sana kunichuna tu, au kwakua mimi ninaroho nzuri.

Sasa naomba mmoja wenu aone umuhimu wa mimi kupata mke jamani sio kuwa ATM tu.

Mwenye sifa zifuatazo jamani hata uni PM tu nitafurahi sana.

1. Asiwe mweupe sana wala mweusi sana.
2. Anayejitegemea.
3. Msafi.
4. Mchangamfu.
5.Mkristo.
6. Mcha Mungu.
7. Asiyekunywa pombe sana.

Mimi ni mwanasheria ninaishi hapa dar na nina umri wa miaka 28.
Naomba kuwasilisha,
Mimi kaka yenu ninayewapenda sana.
 
tena namba iambatane na vocha.
Vocha sio tatizo atoe 2 namb za cmu 2mtafute jamani wengine tunatamani kuolewa ila ha2wapati wa ku2oa maana nasi 2shadanganya kama yeye nw twatfuta true love
 
I havent met the qualifications! Ngoja niwaite dada zako wengine..
 
Ha ha ha ha vigezo vyote ninavyo ila mwanasheria hapana,namaanisha toa sifa zako zote na wewe, goodluck,
 
kweli umedhamiria mwaka huu mpaka umpate......
 
kamanda unataka wao wakufuate?
Wewe huoni? Kwa nini isiwafuate na ujikakamue kiume!
Hujaona akina Mwali, Amyner, Afro, Preta
na wengine kibao wenye wasifu wa kua mother house!
 
Bruce Lee amecheza lini movie yake ya mwisho?

.
According to Internet Movie Database, Bruce Lee's last movie was Enter the Dragon (1973).

IMDB does not recognize Lee's appearance in Game of Death (1978) as an acting role because his appearance is based on archival footage.

In Game of Death he only played in about half of the movie, until his untimely death; ultimately, the producers had to stitch together clips and outtakes to compensate for the lack of complete filming.


Though mjibu/msapoti bwana ... jamaa (mkaliwakitaa) anatatafuta mchumba!
.
 
Back
Top Bottom