JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya...
5 Reactions
8 Replies
819 Views
Kibibi kimejaa mvi kichwani muda wote kipo online kinafatilia udaku huko IG Snapchat Facebook nk Dingi kajaa mamvii kichwani halafu chawa Dingi kavaa kata k. Ongezea.... Hivi wahuni nao...
1 Reactions
11 Replies
586 Views
Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa 👇👇👇👇👇
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Uzi huu utumike kama tiba ya ugonjwa wa mawazo au kwa ajili ya kurejesha normal state ya mtu aliye bored, msemo wa yule binti anakwambia yuko board[emoji16] Umekutana na reply inayovunja mbavu...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Nimekunywa Konyagi this morning natokwa na jasho balaa. Nahisi nishapoteza maji kama lita 10 mpaka sasa hivi. Au itakua konyagi pori hii, mbona za zamani hazikuwa hivi?
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Natumaini wote humu mko poa.Leo nataka kusikia maoni yenu kuhusu hili;ni jambo gani ulilokuwa unaona la ajabu au sio la kawaida na huwezi kulifanya hapo awali ila Sasa unaona ni...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Nilikuwa napita pita zangu huko mtandaoni,nikakutana na tangazo la wauza viwanja (madalali). Nilisikitika sana baada ya kusoma like tangazo. Nikasema Bongo Kuna watu Wana uchumi ambao wanaweza...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Salaam wakulima na wafugaji Kichwa cha uzi cha husika Karibu tutiririke [emoji846]
6 Reactions
76 Replies
2K Views
Hii imenitokea Mimi leo asubuhi nilienda mgahawani kunywa chai Sasa pale kulikua na watu kadhaa,, kuna jamaa mmoja akawa anamsifia mdada fulani pale. Sasa kilichofanya nichekwe nilimwambia yule...
6 Reactions
17 Replies
630 Views
Sisi wenye macho ya fursa tumeona ipo fursa hapa. Imagine unaanzisha live betting ya kukatika kwa umeme. Masharti ni mkeka unawekwa kila siku saa sita kamili usiku. Mkeka unadumu masaa 24. Mteja...
18 Reactions
28 Replies
889 Views
Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
1 Reactions
4 Replies
539 Views
Habari, Niende kwenye mada nipo likizo kikazi na familia yangu hapa Pwani,Kibaha picha ya ndege karibuni Chrismass nachinja Ng'ombe ok tuachane na ayo sasa bwana wakati nipo Arusha hapo ninapo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Asalaam aleikyum waungwana..? Natumai mu wazima na Buheri wa afya zenu mnazozitumia kumtukuza muumba na wengine mnazitumia kutenda maovu!.. yote kwa yote kikubwa tunaishi. Turudi kwenye kizaizai...
3 Reactions
8 Replies
842 Views
ChatGPT ina akili Vizuri kweli?
6 Reactions
10 Replies
897 Views
Mwamba apewe maua yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nahangaika kupika hapa siopoa wakuu na ukizingatia siwezi kula daku kwa mama ntilie na nimeçhoka nakazi ile mbaya. Mchumba wangu joannah nikuoe...
11 Reactions
63 Replies
2K Views
Kwema wakuu! Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo. Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu. 1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi...
14 Reactions
154 Replies
5K Views
Juzi usiku narudi home nikasema nisimame pale mbele ya Meeda Sinza kuna duka lipo pembeni ya barabara ninunue vocha, ni mapema tu saa moja usiku. Napaki tu hamadi! wale wadada wamezunguka gari...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi ingetokea kwamba mtu akifanya jambo kwenye mahusiano usilokubaliana nalo wewe, anafungwa jela au kutoa faini ingekuwa jambo gani hilo? Kifungo kwa muda Gani? Au faini shilingi ngapi? Kwa...
4 Reactions
6 Replies
465 Views
Ebana Kuna Jamaa hakupiga mswaki alafu story aziishi na maswali yasiyo eleweka. Vipi wewe Mkuu?
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom