JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Moja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu in huu kwamba Elimu ni bora kuliko pesa Yani nakumbuka kipindi nipo shule kwenye debate kupitia motion hii ya "Education is better than...
14 Reactions
49 Replies
2K Views
Hivi kuna kitu kingine kimewahi kushuka bei zaidi ya flash drive?
4 Reactions
7 Replies
551 Views
Wadau nawasalimu, Leo nimenunua Diamond Karanga na nimejikuta nimeshinda Carton ya Diamond Karanga. Naomba mnijuze nitawezaje kupata zawadi yangu. Mwisho kabisa nawatakia kila la heri kwa mwaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
😁🤸
16 Reactions
143 Replies
4K Views
Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba. 1. ZITTO KABWE Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
57 Reactions
183 Replies
7K Views
Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
7 Reactions
69 Replies
3K Views
Sherehe ya kula nyama ya mbwa yafanyika China Sherehe ya kula nyama ya mbwa iliogubikwa na utata katika mji wa Yullin nchini China imeanza licha ya ripoti za awali kwamba ilikuwa imepigwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa najiuliza kosa langu ni nini yani group nipo na ni mchangiaji mzuri tu wa mada mbalimbali ila aliona sijui namzidi umaarufu leo nimefika sehemu yenye wi-fi nataka kuuliza kama nyama...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Eti Wadau, Ghafla paaap, bahasha hiyo hapo, huko ndani kuna karatasi yenye details zote za kifo chako Mfano: Tarehe, Mwaka na Mahali Utafungua????🤣🤣🤣🤣🤣 My take: Mie nitafungua jamani, I'm...
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi...
27 Reactions
39 Replies
2K Views
Je umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako na kwanini?
0 Reactions
3 Replies
474 Views
Kila nikikumbuka nilivyokuwa napambana kusoma shuleni ilihali nije kuishi Maisha mazuri baadae naumia sana Kweli nimeamini shule ilinipoteza muda mno
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Unatembea kwenye barabara isiyo na mwisho, na una kioo kimoja mikononi mwako. Ukitazama kwenye kioo hicho, unaona kitu ambacho kila mtu huona lakini hakuna yeyote anayeweza kukiona. Je, ni kitu...
0 Reactions
4 Replies
590 Views
Habari za siku tele waungwana? Pasipo kupoteza muda niende kwenye mada. Siku au miezi kadhaa iliyopita, mwanadada Jane Lowassa alitutangazia kuwa kipindi hicho alikuwa amejikita katika kufunga...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
HUWEZI kuwa mtu mzuri kwa kila mtu. Baadhi ya watu wanahitaji tu uzoefu! ✍🏾
1 Reactions
10 Replies
553 Views
Shalom, Kuna Baa zinaendeahwa kishamba sana sijui wachawi, wanazikata tishu Moja vipande viwili sijui wanatumwa na mapepo ya kichawi. Zinakera hizo Baa natamani kuwatukana naishia kuzikataa hizo...
3 Reactions
9 Replies
478 Views
Happy Birthday to you shansarie... I am happy. Thank you sana for ur support. Mungu akuzidishie miaka mingi zaidi ya furaha na mafanikio tele. I will Marry you soon! [emoji122] [emoji320]...
4 Reactions
93 Replies
6K Views
Back
Top Bottom