Faini ya shilingi ngapi au kifungo jela cha muda gani?

eldamaty_persier

Senior Member
Mar 18, 2024
118
282
Hivi ingetokea kwamba mtu akifanya jambo kwenye mahusiano usilokubaliana nalo wewe, anafungwa jela au kutoa faini ingekuwa jambo gani hilo? Kifungo kwa muda Gani? Au faini shilingi ngapi?

Kwa mfano; ikiwa umeoa au kuolewa na ucheat,kifungo miaka 3 jela! Kwa mahusiano ya kirafiki, mapenzi,ndugu au kikazi. Wadau hii kwenu ingekaaje?
 
Hivi ingetokea kwamba mtu akifanya jambo kwenye mahusiano usilo kubaliana nalo wewe, anafungwa jela au kutoa faini ingekuwa jambo gani hilo? Kifungo kwa muda Gani? Au faini shilingi ngapi? Kwa mfano; ikiwa umeoa au kuolewa na ucheat,kifungo miaka 3 jela! Kwa mahusiano ya kirafiki, mapenzi,ndugu au kikazi.Wadau hii kwenu ingekaaje?
Mkishaoana ndio tayari mmesha funga kifungo cha maisha. zaidi ya hapo cha kuwatenganisha ni kifo 🐒

Mengine ni siri ya ndani, mahakama sebuleni, chumbani kwenye 6kwa6 ni hukumu ya haki tu, hakuna namna ingine tena 🐒
 
Back
Top Bottom