Pale Meeda Sinza nako siku hizi balaa!

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Juzi usiku narudi home nikasema nisimame pale mbele ya Meeda Sinza kuna duka lipo pembeni ya barabara ninunue vocha, ni mapema tu saa moja usiku. Napaki tu hamadi! wale wadada wamezunguka gari wametokea gizani,Sasa nikajiuliza je akitokea mwandishi wa Shigongo ghafla apige picha si naingia aibu na mai waifu ananikimbia!!!!

Hivi siku hizi biashara hii inaanza mapema eeeh? :hatari:
 
Nimemkumbuka mchizi wangu Denis pande hizo ndo mitaa yake!
 
vipi milango ulikuwa umefunga vitasa..nasikiaga wanazama ndani ya mkoko bila hata ruksa..
 
..kaka hao ni jirani zangu...mwanangu bzes mapeema kinoma!!anko karibuu....karibu tuongee...hatutashindwana njoo bana...ebo!!
pembeni kuna sehemu wanaita kwa babu hapo ni buku mbili huduma ya kulala kwa muda mfupi...
 
Hehehe, Aisee dogo kama unaishi hapo nakusihi usimpeleke demu wako ghetto mida ya jioni usije ukaaibika hawachelewi kusema "Kaka leo upo na wifi ndio unauchuna eee" halafu wanakuachia kimbembe.
 
Wengine tunawaona saa kumi na moja asubuhi wakati wa jogging! Hii Dar si mchezo!
 
Back
Top Bottom