naonaga wadada baadhi wamevaa pete mbili, ya ndoa na uchumba at the same time, wengine huvaa moja kati ya hizo mbili hapo uwa naelewa either kaolewa au yuko engaged, sasa hawa wenye mbili cacico...
Kifupi nam-admire kinoma mi mdada m1 humu. N natamani sana nionane nae. Ni hayo 2! Iko siku ntafunguka zaidi..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
good sunday JF, naombeni kuuliza. siku za jumapili nikiwa naenda church nimekuwa naona watu wakitembea hasa hii njia ya oysterbay along the ocean. wako dressed for a walk na ni wengi. mwanzoni...
mara ya mwisho tuliachana paleee kwenye mishkaki ya firigis
mwenzenu pacha wangu jamani
hata wifi yangu sakapal nae simuoni!
eh jamani nisaidieni kuwatafuta Madame B hujamuona chuoni huko? Nyani...
Samahani,naomba mtu aniandikie kwa maneno ya kiswahili namba izi mbili 10,001 na 11,000.Wengine kidogo lugha zetu za asali zimetualibu kiswahili kinapiga chenga.
hayaa tena wapendwa siku yetu ya kuwa na topic motomoto ndo hyo imefikawadau wote,mjiandae kwa mapoint kutakuwa na mada bab kubwa sana.
stay here, will be back in a couple of hours..
take care...
Salaam.Leo nimekuja huku. Naomba kujuzwa kama nawezapata huduma ya Free Sms ya kujiunga katika mtandao wa AIRTEL mfano wa xtreme au tano ktk tiGO. Natoka MUHEZA,TA kwenda MORO na RAHALEO sasa...
Huwa kila ikifikaga ijumaa nacheka sana..maana nahisi watu hasa kina dada huwa wanaiota itafika lini ili waje watuonyeshe pamba zao za mtaani.... basi kali zaidi..utawakuta hata wazee wenzangu...
Three leaders of the big beer companies meet for a drink. The president of Budweiser orders a Bud. Miller's president orders a Millers and the president of Coors orders a Coors. When it is...
The family of Mr Rice and Mrs Beans,sorrowfully announces the death of their daughter Stew who died in a stove accident at the university of kitchen.Among them were Dr Maggi,Prof salt etc.The...
Jamani nauliza hivi, kwa nini wanawake wengi wa JF wana 'like' nyingi kuliko wanaume! Naomba mnijuze, ni udaku tu jamani!!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums