my huz C6 wengi wanaovaa ya ndoa bila ile ya uchumba ujue zimewabana. couz wakati wa uchumba anakuwa kimodo akishaolewa na kupata mtoto/watoto hunenepa. sasa anaona bora kutanua ya ndoa pekee. hayo ndo majibu walonipa wahusika
Wenye ndoa watakuja.
Wenye ndoa watakuja.
kwa kuangalia kiganja chako nahisi umeolewa ukiwa na umri mdogo eenh
asante Facilitator. ukweli napenda sana kucha zangu. sijawahi kabisa kuruhusu wale wa salon wakaziharibu, lol!Nimependa kucha. Unazitunza vizuri.
kapistrano, cacico, charminglady, King'asti mimi nikajua ukiwa married uchumba ndo umeisha, kama vile ukiwa mchumba uboyfriend na ugelifrend unaisha@fp jamani una kucha nzuri mweeee
hata kama uchumba umeisha sasa ile pete utaipeleka wapi?kapistrano, cacico, charminglady, King'asti mimi nikajua ukiwa married uchumba ndo umeisha, kama vile ukiwa mchumba uboyfriend na ugelifrend unaisha@fp jamani una kucha nzuri mweeee
Du! watu8 umesomea wapi kutambua umri wa mtu kwa kuangalia kiganja? umri mdogo unamaanisha miaka mingapi hivi? hiyo picha niliipiga juzi tayari nikiwa na miaka 13 ndoani, ha haaaaaakwa kuangalia kiganja chako nahisi umeolewa ukiwa na umri mdogo eenh
Umeona eeeeh!Ndo nyie mnaotoka nje ya ndoa na wake zenu wanachungulia nje. Uchumba, uboifrendi na engagement haiishi hadi kifo. Surprise zitaendelea, flirting, kufuatana club (@kaunga alisema hii), mitoko na vizawadi vya hapa na pale haviishi kamwe. Kwani mkioana mnatunukiwa ukanali wa jeshi?