JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Heshima kwenu wadau, Hopin wengi hamumjui natalia, so nilikuwa mpweke sana kipindi alipopotea as mods walimpiga Ban baada ya kutupia mi threads ya kumwaga enzi za august.. Nikawa na mawazo sana...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kesho tarehe 19/10/2012 ni siku ya kitchen party ya Madame B. kama kawaida akina mama changamkeni leo kwaajili ya maandalizi ya shughuli hii sote tuwe kitu kimoja. majukumu yanagawanywa kama...
10 Reactions
142 Replies
16K Views
Wahenga wanasema hakuna kama mama,na kila mmoja wetu anajua ni kiasi gani anampenda mama yake.ndio baba zetu tunawapenda lakini ndo hivo tena hakunaga kama MAMA...Sasa napita mahali watu...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Suali linauliza eti rais gani anaependa kusafiri kila kukicha kuluko marais wengne?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Muhindi mmoja alisilimishwa na Sheikh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga Bismillah la sivyo utakuwa unakula na shetani,basi yule muhindi kuna kipindi akajisahau kupiga Bismillah kwa miezi...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Kuna usemi kwamba siku ya mwisho tunaenda Mbinguni, hatutaishi hapa Duniani MASWALI: 1. Je tutapishana na Yesu/Mungu? coz wanasema yesu akija...... 2. Huko mbinguni kuna dunia nyingine? Kama ipo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana Chit Chat, napenda kuwataarifu kwamba mwenzetu Judgement amepata ajali ya pikipiki siku ya ijumaa. Tumuombee apone haraka ili arejee kwenye mihangaiko yake ya kila siku.
1 Reactions
32 Replies
3K Views
jamani wana jf nawaomba sana kwa anaye jua dawa ya mapenzi anisaidie nitashukuru
0 Reactions
29 Replies
9K Views
'scandal' gani ya staa wa bongo imeku'surprise'?!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moto 2012 Mzee Tupatupa Kipipi na Chimunguru wengine wooote wa kunyumba kwani happy birthday kwa kingoni inaimbwaje!
5 Reactions
73 Replies
4K Views
Jamaa mmoja alifika kijijini kwao kakuta mtandao wa simu unapatikana.. akaamua kumwandikia meseji mke wake.. bahati mbaya akaituma kimakosa kwa mwanamke ambaye alikuwa amefiwa na mumewe... Yule...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimenunua ka vitara ka kutembea na Ma wife arabela lakini haka kagali kana nishangaza eti Kwenye MLIMA kanapandisha ila kushusha kwenye mlima haitaki hata uweke free... ..hi gari yaniumiza kichwa..
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Hili tukio limetokea brazil kijana alikua na umri wa miaka 16 alipga nyeto ucku kucha mpaka inafika asubuhi akawa kapiga bao 42 wakamkuta ameshakata roho,mama yake anasema aligundua tatizo la...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
My switi pie, Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho! Bira ya wewe mimi siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio. Nakuheshimu kama ninavyoheshimu rindo. Wewe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mie Naanza na wasaniii hawa: * "I'm the diamond in the dirt, that ain't been found"--50 Cent-Many Men *"Mimi ni Almasi mchangani sema tu sijastukiwa"--Mwana Fa-Binamu(Copy n Pest) $.You playin...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni miaka kumi na mitano (15) imepita tangu baba yetu mpendwa ututoke duniani. ilikuwa siku ya majonzi,huzuni na siku niliyopatwa uchungu ambao sijawahi upata tena. Tunakukumbuka kwa busara,hekima...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
ushabebwaaa kwa kutumia hii mbelekoo???
0 Reactions
13 Replies
1K Views
.....kwa mwali!
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Jamani nataka kutoa heshima kwa jamaa amepita hapa mbele yangu nikajikuta ninamkodorea macho hadi anatokomea,jamaa amebeba ndoo kichwani sinashaka inamaji au mafuta halafu amepanda kibaskeli cha...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwalimu kauliza darasani;kwanini tunasema MAPENZI ni bora kuliko VITA? Mwanafunzi kanyanyuka akajibu;Sababu CONDOM bei rahisi kuliko BUNDUKI.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…