mwaliko ya kitchen party kumfunda mwali wetu madame B. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwaliko ya kitchen party kumfunda mwali wetu madame B.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by gfsonwin, Oct 18, 2012.

 1. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  Kesho tarehe 19/10/2012 ni siku ya kitchen party ya Madame B.
  kama kawaida akina mama changamkeni leo kwaajili ya maandalizi ya shughuli hii sote tuwe kitu kimoja.
  majukumu yanagawanywa kama ifuatavyo.
  snowhite, cacico, sweetlady, FP ninyi mtahakikisha kwamba zawadi a mwali zinanunuliwa leo mapema mlete na risiti zake.
  lara 1, Smile ninyi mtaandaa msosi wa mchana wa mwali manake muda huu yuko ndani haruhusiwi kutoka . hakikishen huduma zote mnampatia hadi atakapo chukuliwa.
  Preta wewe ndie somo wake huyu mwali so leo utaingia nae ndani na utuletee ujumbe kile mwali anachokitaka. Kongosho, King'asti, Zion Daughter, Catherine, Ciello ninyi mtahusika na shopping ya vyakula vyote hapa cashier atakuwa King'asti manake najua huyu tutakwenda sawa mwenzangu Kongosho wewe unaweza ukaeka bajeti za konyagi humo ndani.
  Remmy, Lonely heart anne, Princess emmy, ninyi mtahusika na manunuzi ya vinywaji hapa cashier atakuwa Lonely heart.
  Mamndenyi, nyumba kubwa ninyi mtachukua jukumu la kutoa nasaha kwa mwali wetu pale ukumbini. lakini kumfunda ndani sote tutawajibika kumfuda na hapa itakuwa ni kwa wale akina mama walioolewa tu ndio atakao mfunda mwali ndani.
  AshaDii na Mwali ninyi mtahusika na uandaaji wa sanduku la mwali.
  mapambo ni charmingirl na eversmilinglady

  ambao sijawataja hao ndio wa muhimu sana kwenye shughuli so karibuni sana ila angalizo uje na vyombo vya ndani na hatutaki vyombo vya plastic hapa ulete vya udongo na vya chuma wala sio bati.

  nawakilisha.
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  halula!kesho ndyo kesho!
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  mimi naomba tenda ya kuchukua video
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  sasa leo msichelewe manake jion tunamfunda mwali ndani.........ukungwi wote tunamalizia hapo.
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  ngoja kwanza wakina mama wataamua tenda wampe nani lol! unataka kutunyima uhuru wa kuachia nyonga wewe nshakusoma
   
 6. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  umeona enhn yooote tunamalizia ndani tukienda ukumbini shurti kujisosomola na kucheza mzikki
   
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mh!hatuna imani na wewe bana!mtume wife
   
 8. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Madam gfsonwin mie nipange kwenye security naona ndio kutanifaa zaidi...Naona kuna wazamiaji wanaanza kunyemelea... (nitonye anakuja na gia ya kuchukua video...)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Zayon Dotaaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  haswaa shoga yangu, tena usisahau vikolombwezo vya ndani.
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  noted madame.
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimependa sana hii kazi nilopewa, naona kuna uwezekano wa kula teni pasenti hapa. hahahaha
  Mimi nitaenda kununua, then AshaDii wil present it (dancing) during the kichen party itself.
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  NN unahusika kwenye kamati ya kuleta gauni toka italy,france au hata kwa obama kama vipi!
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mimi ni professional wa kuchukua video kwa hiyo msiwe na wasi wasi kwana nitakuwa nafumba macho
   
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  na wewe nani kakuita hapa?
   
 16. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  we kanunue tu,kazi ya kusasambua wala usiwe na hofu!
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  hapa hakuna 10% manake manunuzi ni full risiti. kwahiyo hutasasambua?
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  nshakuona shosti wangu jins ambavyo unakanda kiuno kwa mafuta ili usasamabue vizuri lol!
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wewe unakaribishwa.....
   
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Kungwi bibi harusi nina hamu ya kutoka nje,
  naruhusiwa?
   
Loading...