Jamani mbona mnatuonea wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mbona mnatuonea wanawake

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Penelope, Oct 17, 2012.

 1. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Wahenga wanasema hakuna kama mama,na kila mmoja wetu anajua ni kiasi gani anampenda mama yake.ndio baba zetu tunawapenda lakini ndo hivo tena hakunaga kama MAMA...Sasa napita mahali watu wanagombana mmoja anamwambia we mse,,,g,, na mwingine anamwambia K,,ya mamayako mzazi.Sasa mi nashangaa mara nyingi watu wawili wanagombana lakini anaetukanwa ni mama mzazi ambaye kwa wakati huo hata unakuta hayuo hapo,kwa nini mama?kuna sababu gani hasa ya kumtukana mzazi wa kike sehemu zake za siri???Na wakati hata humjui wala hujagombana nae??
   
 2. K

  Ka2 Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole Sana dada yangu pamoja na wanawake
  Wote bt mtu mwenye akili hawezi kumdharau
  Mwanamke hata Mara moja.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Such is life
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kutukana kwa ujumla sio vizuri......iwe aliyetukanwa ni mwanamke au mwanaume!

  Hayo ya hakuna kama mama wala hayahusiani......kwani nani kama baba?
   
 5. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,250
  Trophy Points: 280
  kutukana dhambi.
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Katika research niliyofanya mie!
  Inayumkini ukimtukana mtu tusi kupitia male's organ inakua kama unamsifia hivi !
  Unless when usin female's organic ndiyo humngw'enya aliyetukanwa!
   
 7. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  point ni kwamba mila zetu tumezoea zaid kumsifia mama na misemo ni mingi kama huo nliosema,ndio hakuna kama baba lakini walisemaga hkuna kama mama,,so najaribu kuunganisha fikira zetu juu ya hilo na sababu za mazoea ya kumtukana mtu asiyehusika kwenye ugomvi wa watu wawili
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mi kuna mtu nilishawahi kumkunja kwny daladala kwa ajili ya hili tusi!na nilichachafya haswa !
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Akutukanaye hakuchagulii tusi
   
 10. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wajua yamtokayo mtu yameujaza moyo wake, so wanaotumia kiungo cha mwanamke kama tusi hicho kiungo kimewajaa mioyoni mwao kwa asilimia kubwa!!
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  nachukiaga sana hiyo.......

  Tena unakuta janaume na ndevu zake anatukana k likitoka hapo linaenda kuitafuta ilipo, hovyooooooo
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hehehe, kama nakuona vile.
  Nikimsikia mtu anatamka hivi huwa namuambia ndo maana mamako akaamua kukutapika ili usidharau mlango ulioingilia na kutokea.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  uwiii
  jf jamani ,mntupa raha
  as if una uwezo huo wa kukunja mtu lol
  u bouncer wa vidole nyuma ya pc? lol
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  good coment! Nimekupenda bure.
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Ahsante Filipo....... tuko pamoja


  Hehehehehe sahivi ntakuwa napost mapoint tu ili uwe unanipenda kila siku
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  hah hah hah hah! Probably! Karibu anyway.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Hahahahaha nimekupata lol
   
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ahahhaahhahahhahah hujanjua vizuri wewe!
  ngoja siku ufanye mbofu mbofu tukiwa clinic au ibadani ndo utantambua!
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wana viwanda vya matusi hao
   
 20. m

  madmankache JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 818
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 180
  Kama mlivyosema hakuna kama mama,sa m2 anapokutukana anataka ukereke akuudh kwa kiasi kikubwa na anajua m2 unayempenda kuliko wote ni mama yako,sasa unadhan atamtaja nani kama co mama na hasa kiungo ulichotokea wewe ucpo kuwa makini utaozea jela
   
Loading...