...Msaada Wana chit-chat...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Nimenunua ka vitara ka kutembea na Ma wife arabela lakini haka kagali kana nishangaza eti Kwenye MLIMA kanapandisha ila kushusha kwenye mlima haitaki hata uweke free...

..hi gari yaniumiza kichwa..
 
Ili kuhakiki tatizo inabidi umpe fundi ajaribu kuendesha kwanza. Hapo ataelewa kama issue ni gear boksi ama clutch.
 
jaribu kumwaga oil, lakini kabla ya kufanya hivyo hakikisha fundi kaichokonoa kujua kama ni chafu au lah!
 
Ili kuhakiki tatizo inabidi umpe fundi ajaribu kuendesha kwanza. Hapo ataelewa kama issue ni gear boksi ama clutch.

Mimi ni fundi naomba nipewe hiyo kazi, Ila isiwe ni kimeo ikaja kunichosha akili na kuniumiza bure!!
 
Nimenunua ka vitara ka kutembea na Ma wife arabela lakini haka kagali kana nishangaza eti Kwenye MLIMA kanapandisha ila kushusha kwenye mlima haitaki hata uweke free...

..hi gari yaniumiza kichwa..

Hebu jaribu kushuka mlima kwa rivasi utaona inavyokimbia speedi
 
Nimegundua kuwa gari lako limezoea kupita njia ya vumbi na ndilo maana linashindwa kushusha mteremko.

Achaa na njia ya vumbi imeathiri gari, pili fanyia gari services na mwisho acha papara kwenye usukani utafika tu tehe tehe.
 
sijawah kusikia ugonjwa huo labda afundishwe kuendesha.vinginevyo itakua na kamkono kamtu
 
Guys huyu zubedayo_mchuzi haongelei gari la kawaida hapa! Hamuoni hata Arabela mwenyewe anashangaa kama gari ni gari kweli? Na huo MLIMA siyo mlima kweli. Hakuna wanafalsafa humu wampe jibu? Me naogopa BAN.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom