Duh!...we mkareeee!.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh!...we mkareeee!..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyakwec's Bro, Oct 18, 2012.

 1. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani nataka kutoa heshima kwa jamaa amepita hapa mbele yangu nikajikuta ninamkodorea macho hadi anatokomea,jamaa amebeba ndoo kichwani sinashaka inamaji au mafuta halafu amepanda kibaskeli cha tairi moja speed 120,nimeshangazwa jinsi anavyokwepa mabonde njia zetu za uswahilini utapenda,mambo hayo huwa ninayaona kwenye runinga tu leo nimeshuhudia live bila chenga.
  Mambo haya ni vipaji au mazoezi tu na mimi nikifanya miezi miwili hivi ninaweza kujua?wazoefu tujuzane!..
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Kuna mambo mengine usipojifunza utotoni,ukubwani utakuwa unatafuta ulemavu tu...
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  fanya zoezi la kuchemsha mawe ukiona umefanikiwa kuyaivisha basi hamia kwenye hilo la huyo jamaa
   
 4. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  eti eeeh!...
   
 5. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kuivisha mawe zoezi dogo mkuu,kinaiva chuma ndy useme mawe hiyo inategemea tu natumia moto gani!..
   
 6. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  katafute pumzi kwanza....
   
 7. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  pumzi inatafutwa wapi mkuu?...
   
 8. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ni zoezi rahisi tu hilo.Anza kujifunza kwenye mitelemko mikali yenye mawe mawe,ndani ya siku tatu unakuwa mwalimu.
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huu sasa ni uuaji kaka .
   
 10. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwenye villima vilima kama kimara unakatiza kwa miguu mwendo wa km kama 20 kila siku... then ndio uanze kuendesha hako kabaiskeli
   
 11. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  wap hiyo tena huyu mtu hata iringanshawahi kumuona
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  subiri siku ukimwona Nyani Ngabu anakwea mnazi kwa spidi mia,NN ni mkwezi pemba ujue.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  kama swimming na kuendesha baiskeli.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kama una mke usijaribu hayo macrap. Utaachwa siku si zako
   
Loading...