Mtihani wa Civics umevuja

salmar

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
799
362
Suali linauliza eti rais gani anaependa kusafiri kila kukicha kuluko marais wengne?
 
Lingine naskia linauliza tija ya safari hizo, kuna dogo kanipa hint ya jibu lake, mmmh ngoja labda m'bunie wenyewe
 
Anaitwa rais,ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa tanzania mheshimiwa VASCO DA GAMA the explorer,hupendelea kupanda matoroli ya farasi anapokuwa ughaibuni
 
Duh mutakua mumepiga chabo nyinyi dah majibu yanafanana
 
Ndalichangu oh sory ndalichako felisha hawa wamekopy n pest lol
 
Back
Top Bottom