LEO NI BIRTHDAY YA FP kikweli kweli!

hapy birthday fp,Mwenyezi Mungu ayaongoze na kuwa marefu,yenye amani,upendo,ujali haki na usawa,hekima na busara,na daima uwe mwenye furaha.hongera sana mkuu fp na jitunze eeh!
 
FP
Kula besdei kwa "laha zako"
afu nikikuombea Mungu usikutane na "Pongo Jamii" manaake ukikutana nao hao haurudi hom!
 
kwa niaba ya kipenzi cha roho yangu mama kijacho charminglady , tunakutakia FP heri ya siku yako ya kuzaliwa,

epi besdei tuyuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom