Muhindi aliyesilimishwa!!!!

CaptainDunga

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
1,567
1,375
Muhindi mmoja alisilimishwa na Sheikh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga Bismillah la sivyo utakuwa unakula na shetani,basi yule muhindi kuna kipindi akajisahau kupiga Bismillah kwa miezi kama miwili hivi,basi shetani akamfuata Sheikh akamwambia mkumbushe muhindi kupiga Bismillah kwa sababu ataniua kwa pilipili
 
bravo
nimetabasamu!
 
ha,ha,ha,ha,haaaaaa!!! nimeikubali hii imenipa hamu ya kula mchana huuu
 
choma kanisa lililojirani na wewe kama ume-mind kivile
Ndio Nyie wajinga wachache mnaotaka kutuletea matatizo watanzania na hizi dini zenu za kukaririshwa na kuletewa na watu weupe,sijui mkoje...natamani ningewachuja wadini wote nchi hii tukae kwa amani sisi wabantu.
 
Ha ha haaa!shetani naye mroho mno,kwani lazima ale kwa muhindi tu akati kuna mahali pengi tu anakokaribishwa!...dah,nmecheka sana!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom