natafuta dawa ya kutongoza

Tafuta hela, ndo dawa pekee.

Afu badili lokesheni, unatuaibisha wanamme wa Mwanza.
 
jamani wana jf nawaomba sana kwa anaye jua dawa ya mapenzi anisaidie nitashukuru

Kama nia yako ni kutaka kujua kutongoza mbinu ya fasta ni kutongozwa kwanza halafu uige, m-PM Mwana Mtoka Pabaya akutongoze halafu utaigizia.
 
Wewe ni mjinga, ukipata dawa yakutongoza utapata dawa yakufanya mapenz,ila ukipata ukimwi hakuna atakaye kupa dawa ya ukimwi,wala hutoandika unataka dawa yaukimwi. Wewe nimwanadam mjinga sana uce ajuwa thaman ya maisha yako.
 
Kama unaweza kupiga domo hiyo ni dawa tosha..
Na kama una vipesa ..wewe hata ukikaa meza ukaweka ka wallet juu ya meza kametuna wekundu wa msimbazi watakuja wenyewe
Ni juu ya nini?
 
Tafuta hela zikisha kuwa nyingi hutahitaji dawa ya kutongoza,hiyo ni dawa tosha pia zitakusaidi kuishi maisha mazuri wewe na familia yako.
 
Tripple C:

Cashmoney,Clothes & Cars

Cashmoney: Tafuta mkwanja

Clothes: Vaa kama carbo snoop(viskin jeans,miwani kama ya kobe,paka poda,piga wave,vaa supra)

Cars: Tafuta kausafiri kazuri na sio ngalangala,usiwe unashusha vioo,weka tinted vioo vya nyuma ila vya mbele usiweke.


Ila jikumbushe na ule wimbo wa OCG-Kazeze

"Ilikuaaa ni saa kumi kasoroboo sheikh mbwana yupo msikitini na baadhi ya waumini anasema alah akbari ala akbar akiwa anamaanisha mungu mkubwa mungu mkubwa,...,mtaani kulikuwa na kijana anaitwa kibisa,mtoto wa mzee idrisa,kijana mdogo mwenye kipato pili ana kibito tinted mziki mzito"
 
Nenda kwa mchungaji kamuulize kwani ujui kutongoza anawezekana mzee ana mshikeli kwa kufanya upate miwashowasho akili.
Hizi ndizo hasara za kukulia Getini mwanzo mpaka unakuwa mtu mzima.

-(A BIG LIAR SHOULD HAVE A BIG MEMORY.)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom