Samahani lakini. Naomba Niulize

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Kuna usemi kwamba siku ya mwisho tunaenda Mbinguni, hatutaishi hapa Duniani
MASWALI:
1. Je tutapishana na Yesu/Mungu? coz wanasema yesu akija......
2. Huko mbinguni kuna dunia nyingine? Kama ipo je Itatosha watu wote pamoja na waliokufa siku nyingi toka Mungu aiumbe dunia?
SAMAHANI LAKINI
 
Aseeee.......
Samahani lakini.
 
Kuna usemi kwamba siku ya mwisho tunaenda Mbinguni, hatutaishi hapa Duniani
MASWALI:
1. Je tutapishana na Yesu/Mungu? coz wanasema yesu akija......
2. Huko mbinguni kuna dunia nyingine? Kama ipo je Itatosha watu wote pamoja na waliokufa siku nyingi toka Mungu aiumbe dunia?
SAMAHANI LAKINI

Teh teh teh,
 
Endapo mungu ameweza kuumba dunia na tukatosha atashindwaje kupaumba peponi pa kuwatosha watakatifu?
Peponi ni hapa hapa duniani kwa imani yangu, mungu atapabadili na kuondoa waovu wote.
No questions :sorry:
 
Hivi watu wanataka kwenda peponi kufuata nini wakati vitu wanavovipenda huko havipo? Kilimanjaro beer hakuna, Manchester haipo, gesti za shorttime hazipo, gongo ndio kabsaaa? Sielewi!!!!
 
Kama wewe sio mvivu wa kusoma, soma kitabu cha Ufunuo wa Yohana,sura ya 20,21 na 22,utapata majibu yote.
 
Kuna usemi kwamba siku ya mwisho tunaenda Mbinguni, hatutaishi hapa Duniani
MASWALI:
1. Je tutapishana na Yesu/Mungu? coz wanasema yesu akija......
2. Huko mbinguni kuna dunia nyingine? Kama ipo je Itatosha watu wote pamoja na waliokufa siku nyingi toka Mungu aiumbe dunia?
SAMAHANI LAKINI

Mmmmmmh teh teh
 
Back
Top Bottom