Network mpaka huku... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Network mpaka huku...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Manyanza, Oct 17, 2012.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamaa mmoja alifika kijijini kwao kakuta mtandao wa simu unapatikana.. akaamua kumwandikia meseji mke wake.. bahati mbaya akaituma kimakosa kwa mwanamke ambaye alikuwa amefiwa na mumewe... Yule mwanamke aliipokea meseji ili aisome kwa sababu watu walikua bado wanaendelea kumtumia meseji za kumfariji....
  alipoisoma meseji akazimia....
  mwanae kuona mama yake kazimia kaichukua simu akaanza kuisoma ile meseji... ilikuwa imeandikwa

  " MKE WANGU MPENZI NAJUA UTASHANGAA KUONA SMS YANGU HII HUKU NAKO MTANDAO UPO KAMA HUKO NIMEFIKA SALAMA NA MATAYARISHO YA WEWE KUJA KESHO YAPO TAYARI NAKUSUBIRI HONEY"
   
 2. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  khaaaaaaaaaaaaaaa hahahhahahahhahahahahahahahahahahahahahhahahaha
  hahahahhahahaha...................!
  mama kuleeeeee..............! wakati unaweza kukuta hapo alikua analia "bora tungekufa woooteeee....."
   
 3. Ben40

  Ben40 Senior Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni balaa.
   
 4. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hapo akizinduka anakufa kwelikweli
   
 5. lumanyisa

  lumanyisa JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 878
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  duh nasikia yule mama amekufa kwa mshtuko
   
 6. S

  STABLE GIRL Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh! you made my day
   
 7. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,090
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  km umecreate unatisha ila km umepest basi ww ni......
   
 9. K

  KALA Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kilaza
   
 10. L

  Laptani Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hahahahhhhaaaaa, kuambiwa ujitayarishe kufa si taarifa nyepesi!!!!!
   
Loading...