JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu kwa mpigo!..
0 Reactions
8 Replies
938 Views
An old man lived alone in Idaho. He wanted to spade his potato garden, but it was very hard work. His only son, Bubba, who used to help him, was in prison. The old man wrote a letter to his son...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Muda fulani nilikuwa nikijivinjari kijibaridi hapa Coco huku natembea huku na kule kila baada ya hatua mbili watu wamebebana, wengine wako mchangani yaani ni shaghala baghala Aisee kuwe na...
2 Reactions
57 Replies
10K Views
Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake, kufika njiani hali ilikuwa mbaya kaamua kurudi. Kafika home kavua nguo kaingia tena...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
{MGONJWA}:Haya mganga,yule Beberu ambaye hajawahi kula mazao kwenye shamba la watu ndo huyu na Jogoo mwenye umri wa miaka miwili na nusu huyu hapa,fanya mambo unitibu ugonjwa wangu. {MGANGA WA...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna visichana viwili vya kizungu kila siku jioni vinapitaga hapa kitaani kwangu vikiwa vimepanda farasi jike. Kwa hiyo nahitaji farasi dume haraka kwa kuwa najua atajenga urafiki na yule farasi...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna usemi kwamba siku ya mwisho tunaenda Mbinguni, hatutaishi hapa Duniani ANGALIZO: 1. Tutapishana na Yesu/Mungu? coz wanasema yesu akija...... 2. Huko mbinguni hakuna dunia nyingine. Kama haipo...
0 Reactions
5 Replies
962 Views
Alikuacha mmeoana au vibuti
0 Reactions
60 Replies
4K Views
Salary bwana is almost contrary to Inflation!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Two young guys appear in court after being arrested for smoking dope. The judge says, 'You seem like nice young men, and I'd like to give you a second chance instead of jail time. I want you to...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Nimesimama kwenye daladala asubuhi moja huku ucngizi ukidai haki yake ya kumalizika...Nackia mdada akilia kwenye redio eti 'baba katuma hela ya ada wamekata'--> sasa kwani baba yako ndo anamiliki...
2 Reactions
0 Replies
855 Views
Wanajamvi ni dhahiri kuwa wiki hii tumeshuhudia mvurugano mkubwa sana hasa dar hii na kule zenji jambo ambalo limenifanya nitumie muda mwingi kule jukwaa la stress tukipeana za uso na wadau...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
1. Nimegundua waschana wengi siku hizi hawavai ch***p. 2. imegundua vjana wengi wa mjini wako CDM. Je, wewe umegundua nini???
0 Reactions
82 Replies
10K Views
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Jamaa alikuwa anaendesha punda, siku 1 alimuuliza rafiki yake, kwnn! gari zinaenda mbio sana? Akamjibu zinatumia Petrol siku ya pili akaenda sheli na punda wake,Alipofika akamnyanyua mkia,akasema...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
jamani najua mumeamka salama.namuulizia ELIZABETH DOMINIC yuko wapi nimejaribu kumchungulia humu ndani simuoni siku nyingi haonekani.mwenye taarifa zake tafadhali
2 Reactions
72 Replies
4K Views
jjapo umenikataa lakini naomba unipe nafasi hata ya kutoka nawewe w.kend hii walau moyo wangu upoe kidogo
1 Reactions
55 Replies
4K Views
HII NI ZAIDI YA TUPO WANGAPI :- Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email: "Mama nina UKIMWI" Mama yake akajibu: Usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :- Ukirudi wewe utamuambukiza mkeo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa alipanda taxi akamwambia dereva, zima mziki dini hairuhusu kusikliza nyimbo za kidunia kwasabab wakati wa yesu hakukuwa na redio, dereva akazima halafu akasimamisha gari na kufungua mlango...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wanajamvi,ninashida katika ofisi hizo za world vision hapa Dar es salaam lakini sifahamu zilipo na nimesha google sana bila mafanikio ninaomba anaefahamu anifahamishe wapendwa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…