Kwa matangazo haya kubishana na redio is inevitable | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa matangazo haya kubishana na redio is inevitable

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by PetCash, Oct 22, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,678
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Nimesimama kwenye daladala asubuhi moja huku ucngizi ukidai haki yake ya kumalizika...Nackia mdada akilia kwenye redio eti 'baba katuma hela ya ada wamekata'--> sasa kwani baba yako ndo anamiliki mtandao ndo wasikate? mwingine anahoji kwa jazba, 'watakataje?' eh? haya ukawashtaki basi kwa kukata!
  Dear Airtel hayo matangazo siyo feasible na mmeniudhi sihamii ng'o!

  Huku sprite says Tii kiu yako....baadae 'Freedom from thirst?' kwani umesahau a while ago uliniambia kila kiu ikija niitii? how do you suppose i can be free from kiu?

  OK, I'm sitting here nimenunua modem yangu ya airtell najiandaa kusurf then I see 'Airtel internet-so fast that It'll blow you away!'
  Why on earth will I want to be blown away?

  I found out recently that apparently I'm not a real man since 'Mwanaume wa kweli hutumia Dume!'

  And dear fanta, do you have alcohol in your sodas?
  Kwa sababu 'More fanta less serious' is an eye opener...:bolt:
   
Loading...