Ungekuwa wewe ndo huyu mgonjwa ungefanyaje?

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
{MGONJWA}:Haya mganga,yule Beberu ambaye hajawahi kula mazao kwenye shamba la watu ndo huyu na Jogoo mwenye umri wa miaka miwili na nusu huyu hapa,fanya mambo unitibu ugonjwa wangu. {MGANGA WA KIENYEJI}:Nimecheki kwenye darubini yangu inaonesha una malaria kali iliyotokana na kuumwa na mbu majike wa usiku wa manane ambao wanatumwa na jirani yako,nakushauri ukanywe mseto(ALU) dozi nzima utapona.
 
Bora huyo kuna jamaa kaambiwa una Typhod inayotokana na shah*w* za minyoo kupigana fimbo kila siku ktk maji safi kalete salama condom za minyoo
 
Ningekuwa na sura ka ya Kayanza lazima ningewala kuku na mbuzi walionona wajinga wajinga
 
Back
Top Bottom