Msaada: Zilipo ofisi za world vision Dar es salaam!...

Nyakwec's Bro

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
820
174
Habari za asubuhi wanajamvi,ninashida katika ofisi hizo za world vision hapa Dar es salaam lakini sifahamu zilipo na

nimesha google sana bila mafanikio ninaomba anaefahamu anifahamishe wapendwa.

Ninatanguliza shukrani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom