Kuna visichana viwili vya kizungu kila siku jioni vinapitaga hapa kitaani kwangu vikiwa vimepanda farasi jike. Kwa hiyo nahitaji farasi dume haraka kwa kuwa najua atajenga urafiki na yule farasi jike, na hapo nitakuwa nimeunganishwa na vile vischana. Si unajua tena mahusiano sio lazima yaanze kwa kuombana namba za cm na addresses.