Salalee, Jamaa alikuwa anaendesha punda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salalee, Jamaa alikuwa anaendesha punda!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by muuza ubuyu, Oct 18, 2012.

 1. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,639
  Likes Received: 745
  Trophy Points: 280
  Jamaa alikuwa anaendesha punda, siku 1 alimuuliza rafiki yake, kwnn! gari zinaenda mbio sana? Akamjibu zinatumia Petrol siku ya pili akaenda sheli na punda wake,Alipofika akamnyanyua mkia,akasema atiwe lita 5!. Petrol ikamuwasha Punda akatoka mbio nyingi sana! Jamaa akamfukuza wapi hakumpata! akarudi sheli Akavua suruali!, akainama!, akamwambia muuza mafuta niwekee lita 10! lazima nimpate tu!, Unajua kilichotokea hapo? subiri part 2.

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 2. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  mamaaa mbavu zangu duuuuuuu.
   
 3. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  walaah kati ya jokes hii ni ya pili unichekesha seriously................!
  daaah...........!
   
 4. G

  Gaudays Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  japo ya zamani,umenirudishia ndoa yangu,thanx
   
 5. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii kali nahisi imetosha bila hata part 2 yake maana utaua watu kwa kicheko.
   
 6. Lugi Niclous

  Lugi Niclous Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da kaka hyo hatari
   
 7. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,639
  Likes Received: 745
  Trophy Points: 280
  Ok basi sasa, nimeahirisha part 2 yake!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 8. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,639
  Likes Received: 745
  Trophy Points: 280
  Safi sana (sijui dada ama kaka) kwa kuiongeza uhai ndoa yako! Mpe hi Shem!!!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 9. L

  Laptani Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nakushauri endelea na biashara ya ubuyu maana haina madhara, hii ya jokes utaua watu!!!!!!
   
 10. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nasubiri part 2
   
 11. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,639
  Likes Received: 745
  Trophy Points: 280
  Aaaaaaaaaaa, Laptani, biashara ya ubuyu ndugu yangu nimeshaiacha nimeadvansi kidogo nauza barafu za ubuyu pamoja na juicy ya ubuyu make nimegundua nilikuwa nakula hasara baada ya kugundua faida wanayotengeneza wakina mama na kinadada kutokana na ubuyu ninaowauzia!


  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. charger

  charger JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duh! Hii kali! Ha haa haaa
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  serious? Something is 'not wrong' there.
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  teh teh teh...
   
Loading...