Tupo wangapi? Jokes!

Crocozilla

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
469
335
HII NI ZAIDI YA TUPO WANGAPI :-

Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email:

"Mama nina UKIMWI"

Mama yake akajibu:

Usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :-

Ukirudi wewe utamuambukiza mkeo,

Mkeo atamuamkukiza kaka yako,

Kaka yako atamuambukiza hausigeli,

Hausigeli atamuamuambukiza baba yako,

Baba yako atamuambukiza dada yangu,

Dada yangu atamuambukiza mume wake,

Mume wake ataniambukiza mimi,

Mimi nitamuambukiza dereva wetu,

Dereva atamuambukiza dada yako,nadada yako km unavyomjua atakiambukiza kijj kzm!ww 2ma pesa 2 ubki huko huko MWANANGU!!!
 
derava atamuambukiza muimba kwaya ambaye atamuambukiza house boy wa mchungaji ambaye atamuambukiza mke wa mchungaji
 
derava atamuambukiza muimba kwaya ambaye atamuambukiza house boy wa mchungaji ambaye atamuambukiza mke wa mchungaji

Mchngj atamwambukiza yule mama anayefanyiwaga maombi kila jioni
 
Hahahahahaaaa! Mbavu zanguuu!! Yeuwiii... Umenifurahisha sana. Kweli kila mtu "Tulizana".
 
Du! Nice message, ujumbe unatahadharisha kwamba endapo utasambaza hilo gonjwa kuna nafasi kubwa ukaambukiaza ndugu zako.
 
Mbona balaa,mpo kijiji kizima du!Imetisha

PO WANGAPI :-

Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email:

"Mama nina UKIMWI"

Mama yake akajibu:

Usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :-

Ukirudi wewe utamuambukiza mkeo,

Mkeo atamuamkukiza kaka yako,

Kaka yako atamuambukiza hausigeli,

Hausigeli atamuamuambukiza baba yako,

Baba yako atamuambukiza dada yangu,

Dada yangu atamuambukiza mume wake,

Mume wake ataniambukiza mimi,

Mimi nitamuambukiza dereva wetu,

Dereva atamuambukiza dada yako,nadada yako km unavyomjua atakiambukiza kijj kzm!ww 2ma pesa 2 ubki huko huko MWANANGU!!![/QUOTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom