We ulifata nini huko?Au bcoz demu wako hakuja huko coco?Muda fulani nilikuwa nikijivinjari kijibaridi hapa Coco huku natembea huku na kule kila baada ya hatua mbili watu wamebebana, wengine wako mchangani yaani ni shaghala baghala
Aisee kuwe na sheria ya kufanya mambo ya faragha public this is too much
Waache wajivinjari kwani gesti karibia zote bongo zimejaa kunguni. Kuna mtu aliniambia kufanya mapenzi mchangani kuna utamu wake, sijui lakini huyu ni mtu ambaye ana uzoefu kufanya mapenzi mchangani.
Wakumbushie kuwa ARV zenyewe ni feki.
link https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/327102-hili-la-arv-feki-limekaaje-wadau.html
Hivi kufanya mapenzi public kwenye giza ni ukubwa au utoto?
Nitarudi
Guest mnazoenda hizo njoo hapa giraffe hamna kunguni wala papasi
Guest mnazoenda hizo njoo hapa giraffe hamna kunguni wala papasi