Angalizo la Msingi

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Kuna usemi kwamba siku ya mwisho tunaenda Mbinguni, hatutaishi hapa Duniani
ANGALIZO:
1. Tutapishana na Yesu/Mungu? coz wanasema yesu akija......
2. Huko mbinguni hakuna dunia nyingine. Kama haipo je wapi tutatosha watu wote pamoja na waliokufa siku nyingi toka Mungu aiumbe dunia?
 
Hivi SIKUJUI umesoma bible yako vizuri kweli au unakurupuka tu kwa maneno hayo mawili uliyookota?
Nenda kasome bible vizuri kwanza utapata jibu.
 
Hivi hapa JF hakuna jukwaa la dini?
Kama lipo basi peleka huko ndugu utapata majibu muafaka, hapa watu watakuzodoa tu....ila jua tu mbingu ipo acha dhambi.
Julius Kambarage Nyerere alipata kusema, usiseme wala kuamini kuwa Mungu hayupo, amini kuwa yupo ili siku ukikutana naye itakuwa ahueni vinginevyo utapigwa na mshangao.
 
jukwaa la dini lipo ila huyu hawezi kuingia! Bado mtoto mdogo sana
 
Kuna usemi kwamba siku ya mwisho tunaenda Mbinguni, hatutaishi hapa Duniani

1. Tutapishana na Yesu/Mungu? coz wanasema yesu akija......

Hutapishana naye maana atarudi kuchukua walio wake, ambao wameitwa kwa jina lake.
Ukipishana naye tu ujue ndio umeachwa hivyo.

2. Huko mbinguni hakuna dunia nyingine. Kama haipo je wapi tutatosha watu wote pamoja na waliokufa siku nyingi toka Mungu aiumbe dunia?

ukishasema mbinguni moja kwa moja hakuna jinsi mazingira yake ukayafananisha na duniani.
Hivyo waliopata neema ya kuwa huko watatosha. Kumbuka si watu wote wataenda huko kwa mujibu wa Biblia.
 
Back
Top Bottom