JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nawatakia kheri ya sikukuu ya Eid al adha kwa wana JF Wote popote mlipo, Sio vibaya pia tukajua kilamoja atakua viwanja gani akijumuika na familia yake. Mimi nitakua Ngorongoro weekend nzima na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
eti ndugu waislam wenzangu,nyie mnaonaje?
0 Reactions
4 Replies
945 Views
Kumekuwa na wingi kubwa sana la watumiaji wa Black Berry Messenger Hapa Tanzania Kama njia Moja wapo ya Mawasiliano lakini watu wengine wameanza kuitimia Vibaya njia hii hasa Dada Zetu kwa kuwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi wajameni nashindwa kuelewa sababu ya hii foleni ya Posta jioni hii....baada ya kupoteza kama saa nzima kwa kutembea umbali wa mita 500, nimeona bora nipark gari na kuendeleza libeneke la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
......jus join Boflo oooo's tag list.. anatisha.. hutokosa cheka........ Boflo ooooooooooooooo :cheer2:
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Familia yenye mkwanja kidogo, walikuwa wanaishi katika kabangaloo kao kenye ghorofa moja. Mamaa alikuwa kajifungua mtoto wa pili ana wiki mbili tu DOGO: Mamaaaaaaaaaa njooooo huku chumbani...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa niaba ya Waziri wa Elimu wa nchi ya muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe mwaka 11964 nawatakia nyote sikukuu njema ya Iddi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dakika tano tu zilizopita tukio hili limetokea hapa kigamboni: Jioni ya leo tumepata wageni wengi mpaka ilikuwa raha sana. We enjoyed the jokes and th company kwa kweli. Muda mfupi uliopita...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
nadhani anaongoza boflo kwa kupendwa na mabinti-sasa sijui kama wanajua ni me au yeye ni ke!halafu mwingine ni smile anapendwa sana na wanaume-sijui naye kama ni ke au me!!engine wanaopedwa sana...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Jamani sijawahi kula nyama ya bata. Je hapa jijini Dsm ni hoteli ipi wanauza nyama ya bata? Sokoni wako wengi wanauzwa lakini nasikia ukichinja bata ni lazima umning'inize kwanza kwani ana maji...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
txt me 0785821851
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo; - uzoefu wa masuala ya ndoa usiopungua miaka saba -awe alishawahi kuolewa na kuachika kwa wanaume wasiopungua walau wawili, -aoneshe walau ma refarii wawili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
....hivi nifanyeje ili niweze kuwaelewa wanawake? Maana tangu nikiwa mdogo nilikuwa nasikia kauli hii: "wanaume wa siku hizi ni waongo, bora wa zamani". Hata leo hii sentensi hii hii ninaisikia...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Mwanaume = mpini na mwanamke = jembe kwa sababu kawaida, namaanisha naturally 'mpini' huingia kwenye tundu la 'jembe'
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Siku za karibuni kumekuwepo na kitu amabcho kinaonekana ni janga lingine la kitaifa nacho ni Watanzania (na wakaazi wengine wa dunia) kusitisha matumizi ya akili katika masuala ya msingi. Ni juma...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Once you find symptoms of CCMonia sickness,immediately swallow Chademaquine tablets U will be cured.Chademaquine tablets are all over the country.If illness persist consult Dr.Slaa..!
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Je ntakubeba leo?? Wapambe zibeni njia, kamwe riziki haizibiki
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mzigo mpya wakanga umeingia! 1. Waliopiga mabomu, Mungu atawahukumu. 2. Bora uwe mkarimu, kama Sheikh Msellem. 3. Hebu usiwe hasidi, kama Balozi Seif Ali Iddi. 4. Wapiga watu kwa sifa, kama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hebu nisaidie nimejaribu kuunganisha nipate jina la nchi aliyotaja Mh wetu pale kwa mzee mandela
0 Reactions
7 Replies
946 Views
Aoccdrnig to a rseearch at Cmabrigde Uinervtisy, it deosn't mttaer in waht oredr the ltteers in a wrod are witren, the olny iprmoatnt tihng is taht the frist and lsat ltteer be in the rghit...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom