Jamani, hebu nipeni ushauri fasta...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
....hivi nifanyeje ili niweze kuwaelewa wanawake? Maana tangu nikiwa mdogo nilikuwa nasikia kauli hii: "wanaume wa siku hizi ni waongo, bora wa zamani". Hata leo hii sentensi hii hii ninaisikia. siku nyingi tu (na zamani ya leo si zamani ya jana au juzi. Sasa wanaume wa zama zipi wanastahili kuaminika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom