Natafuta mke

Natafuta mke

Azizi Mussa

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2012
Posts
9,199
Reaction score
7,564
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
- uzoefu wa masuala ya ndoa usiopungua miaka saba
-awe alishawahi kuolewa na kuachika kwa wanaume wasiopungua walau wawili,
-aoneshe walau ma refarii wawili wanaoweza kutoa habari zake kikamilifu;mmoja lazima awe ni mume wake wa mwisho.
 
Hahahaahahahahahahaaaa!!!!!!iyo kweli ni hatari!!!!!!!
 
wale wa bongo movies watakufaa?naona wengi wana-qualify
 
Njoo Ilolo garden Mbeya utapata, angalizo. "WAHI MAPEMA NAFASI NI CHACHE"

Near by Tukuyu sec. Mbeya
 
uzoefu wa ndoa ndo ukoje? yaani aliyezoea kuchitiwa au?
 
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
- uzoefu wa masuala ya ndoa usiopungua miaka saba
-awe alishawahi kuolewa na kuachika kwa wanaume wasiopungua walau wawili,
-aoneshe walau ma refarii wawili wanaoweza kutoa habari zake kikamilifu;mmoja lazima awe ni mume wake wa mwisho.

kama uko serious nitafute kwenye e-mail yangu amanihumphrey@gmail.com au facebook kwa jina la joel amani,nitakunganisha na huyo hata mm nitakuwa refaree mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom