Happy Eid El Hadji to all

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Kwa niaba ya Waziri wa Elimu wa nchi ya muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe mwaka 11964 nawatakia nyote sikukuu njema ya Iddi.
 
wakuu hv leo ni sikukuu kweli?manake wengine tumelala hatuna uhakika,na huku tulipo maporini hakuna hata masjid tungesikia wakipiga swala
 
Back
Top Bottom