Duh..face to face na vibaka!

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Dakika tano tu zilizopita tukio hili limetokea hapa kigamboni:
Jioni ya leo tumepata wageni wengi mpaka ilikuwa raha sana. We enjoyed the jokes and th company kwa kweli.
Muda mfupi uliopita wakaanza kuondoka basi tukawasindikiza. Mmoja wa wageni hao ni mdada jirani yetu apa.
Basi mi ndo nikawa wa kumsindikiza. Nkamwambia mshkaji duh mi hata sibebi simu wala hela..huyo tukatoka.
Kufika nusu njia si washkaji watatu wakatokea na wana visu.
Dah mtu mzima nimekaa chini leo mm wakanisachi wamenkuta na funguo tu. Dada wa watu wamemchukulia simu zake.
Imeniuma kweli i couldnt do anything.
Imeniogopesha zaidi kwani ndo mara ya kwanza kunitokea tangu niishi huku kigamboni.
Dah..ni hayo tu wakubwa namshukuru Mungu tuko wazima hawajatudhuru na honestly aka ka android kangu sijui ninhefanyaje...
Thank you Lord..ila sidhani kama next time watapata wakati mrahisi hivi.
 
mweee....pole sana....sasa huyo dada kakuonaje...? ina maana hujafurukuta hata kidogo...?
 
mweee....pole sana....sasa huyo dada kakuonaje...? ina maana hujafurukuta hata kidogo...?

Mh labda tu kwenye uwezo wa ku recover mapema after the event.
Kwa kweli tungekuwa wa kiume lazima kingenuka...i hope she understood!
 
Pole sana mkuu,ila ni jambo la kumshukuru Mungu kama hamjadhurika.
 
duh,pole sana Mentor, shukuru Mungu hawakuwafededa make na vile hamkuwa na hela mbona pangekuwa hapatoshi leo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole za huyo mdada! Ni kweli alichosema Mentor ukiwa na mdada ni ngumu ila kama ni masela kingenuka.

Thanks Arushaone, I really wanted to fight and i could ila sikuwa na uhakika na usalama wake!
All in all I am ashamed of it all...nimeaibisha uanaume wangu!

Hahah Preta na King'asti, thank God sikuwa namtongoza! jus a good neighbour...
 
Last edited by a moderator:
kweli mpe pole sana,
jaribu kuimagine ni saa mbili,
uko na huyo boy friend wako anakusindikiza
wanatokea vibaka inakuwa kama hivyo ungefanyaje,
kwa kweli mimi ndo ingekuwa mwisho wangu mimi na yeye
kwa kuwa ameshindwa kunilinda, samahani Mentor ni maoni tu.

mweee....pole sana....sasa huyo dada kakuonaje...? ina maana hujafurukuta hata kidogo...?
 
Last edited by a moderator:
kweli mpe pole sana,
jaribu kuimagine ni saa mbili,
uko na huyo boy friend wako anakusindikiza
wanatokea vibaka inakuwa kama hivyo ungefanyaje,
kwa kweli mimi ndo ingekuwa mwisho wangu mimi na yeye
kwa kuwa ameshindwa kunilinda, samahani Mentor ni maoni tu.

Hah!!! we Mamndenyi wewe, omba yasikukute,tena kama vibaka wa temeke wakikosa cha maana, wanawaWOWA wote wawili
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom