Vera: AIBU TUPU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vera: AIBU TUPU

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MaxShimba, Oct 25, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160


  [​IMG]

  Kumekuwa na wingi kubwa sana la watumiaji wa Black Berry Messenger Hapa Tanzania Kama njia Moja wapo ya Mawasiliano lakini watu wengine wameanza kuitimia Vibaya njia hii hasa Dada Zetu kwa kuwa Omba Omba na Kuwapiga Mizinga ya Hela Wanaume kwa kupitia BBM

  Unakuta hata Hamjui Anae Chat nae na lakini bila aibu anaanza Kuleta Shida Zake..

  Wengine Ni Mastaa Kabisa wa Hapa Bongo lakini unakuta wanalia Njaa kwa wanaume...

  Tunazo Screen Shot ya Baadhi ya Conversation tulizotumiwa na Wanaume Mbali Mbali zinazoonyeshe Jinsi wanavyoomba na kufanya Umalaya kwa kupitia BBM ......

  Kwa Kuheshimu Hatuziweki zote hapa Leo.....Tunaanza na huu utanguliza wa Vera.
  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]

   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Who`s dat Vera..??
   
 3. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Gaddem it! nimekuja spidi nikasema maza'angu VERA kafanza nini tena? FYI Hilo jina la maza'angu, usilitajetaje hovyo.
   
 4. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  vera huyu huyu mchezaji wa arsenal toka lini akajua kiswahili
   
 5. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mi nkajua tamthilia heeeee mabwaku. Usiwaseme wadada tuu na hao wanaume wanaotaka mambo hayo wanawajua? Mmmmh si mtetei yeyote ila hao wote watatumiana na sio mmoja ndo atatumiwa coz if ikitokea they meet the guy will gv the money n the gal will gv the.... S n hapohapo wote watasaula unadhan kumsaulia mtu kazi ndogo eeeh? So kama magonjwa wote watapata so dats it. Yawezekana mtu yupo kazin pia
   
 6. amu

  amu JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  mi mzima miss you msukuma weye
  karibu kwenye msondo leo usiku tunamcheza bint na kumpa mizungu ya kufa mtu
   
 7. amu

  amu JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Mi naona ngoma drooo mwanaume katongoza mwanamke katangaza shida
  mi id zangu za huko na fb anazioperate my sugarcane maana kila kukicha kutongoza sasa nimewaacha wapambane na mwanaume mwenzao
  sisi watz tupo nyuma sana matumizi ya internet
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Umenifukuza ina maana hata hapa nikitangaza nia nitajibiwa na sugarcane wako.....heheheeee
   
Loading...