Foleni ya hatareee Posta!!!

Foleni ya hatareee Posta!!!

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,343
Reaction score
111,604
Hivi wajameni nashindwa kuelewa sababu ya hii foleni ya Posta jioni hii....baada ya kupoteza kama saa nzima kwa kutembea umbali wa mita 500, nimeona bora nipark gari na kuendeleza libeneke la kupata moja moto moja baridiiii
 
Kama una hela ya soda nenda new Afrika ukanywe soda
 
Back
Top Bottom