Mtoto wa Mbuzi Mzee

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Familia yenye mkwanja kidogo, walikuwa wanaishi katika kabangaloo kao kenye ghorofa
moja. Mamaa alikuwa kajifungua mtoto wa pili ana wiki mbili tu
DOGO: Mamaaaaaaaaaa njooooo huku chumbani kwakooo
MAMA: Kuna nini?
DOGO: Njooooo mama
MAMA: Heee wee mtoto yuko wapi? DOGO: We ndio umenidanganya, ulisema mtoto wako malaika, nimemtupa nje kashindwa
kupaa
 
mbuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naona hii sasa imeanza na siku yangu ya eid vizuri...

thanks sana Nazjaz kwa kunichekesha
 
Last edited by a moderator:
si mmezoea kuwadanganya akina Ngina,
oooh mtoto tumenunua, ngoja mkute wamemrudisha
sokoni kwa wauzaji ndo mtashangaa.

mama una hatari wewe na simulizi zako za hatari asubuhi asubuhi................
 
elimu pasipo vitendo imekufa...dogo akaamua afanye jaribio duh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom