JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
which one hurts most to loose? 1.phone 2.Virginity to the wrong person 3.Teeth 4.Money(60000 $$) 5.Lover(break up after 7 yrs)
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni baada ya miezi mitatu hivi, natokea Mtwara. Ndiyo tumemaliza kipande kichafu cha tope.. Somanga-Muhoro.. Najipigia hesabu kama naweza kujituliza Leo Tupo Hapa Pub,au vipi... By Gee Cee
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Tumewatanguliza na baiskeli ya miti, haya sasa tunaongeza spidi. Tumia siku hizi mbili zilizobaki kwa umakini kwa kumchagua Madame B kuwa Miss Chit-Chat 2012. Hakikisha hufanyi kosa kwenye...
2 Reactions
9 Replies
839 Views
mama huko nyuma hukua hivi.umenisusa mwanao,hujui mwanao naishi vp,hujui,nimekutumia zawad ya x-mas hata huniambii kama umeipata. Mamndenyi mama yangu nimekosa nin?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tumpigieni kura huyu mrembo jamani maana sifa anazo kibao.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
I wish all members of chit chat a marry xmas and happy new year
0 Reactions
13 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Nina hamu ya kukesha leo, mtu yeyote asiye na usingizi aje hapa tukeshe mpaka majogoo tukipiga soga Karibuni kibarazani, hapa nina tende na halua na kibirika cha kahawa pembeni
4 Reactions
69 Replies
17K Views
Hureeeeeeeee. Wale mlio Dar jamani Tupeane ramani. Mie nitakua Billionairs Club weekend yote hii This is what I will put on.
2 Reactions
79 Replies
5K Views
WHAT MAKES YOU AN “AFRICAN” 1. You unwrap all your gifts carefully, so that you can reuse the wrapper like Arushaone 2. You call a person you’ve never met before uncle or aunt @C6 3. More than...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimewamis sana humu ndani, na nimeimiss JF Marry X mass & Happy New. Wale mnaoenda Tanga niwatakie Safari njema Wale mlio kazini kama mimi niwatakieni kazi njema za kulijenga taifa letu
0 Reactions
4 Replies
786 Views
Arushaone niandalie toto la kiarabu huko!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MUNGU awatangulie mfike salama japokuwa mimi binafsi nilipenda sana kuungana nanyi kwa sababu zisizo zuilika nimeshindwa safari njema.MUNGU ATAWALINDA MTOKAKO NA MUINGIAPO AMINA.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
kama hujabahatika kufungua zawadi . . . . ... . . . . . . . . . . . . . . . . Fungua hata mlango
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu nawaletea Risala fupi ya marehemu SSM kama ambavyo nilipita katika kikao kimoja cha Wazee na kusikia haya: 1. Marehemu alizaliwa 5.2.1977 2. Enzi za uhai wake marehemu alijishughulika na...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba boti yenye abiria 250 na mizigo tani 16 iliyokuwa inatoka Pemba kwenda Unguja asubuhi ya leo Imefika salama bandari ya Unguja.. tehe tehe tehe cheki...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
kuna tetesi zimenifikia punde kuwa walioshinda MMU na CC ni nyumba ndogo. Hii imetokana na Nyumba Kubwa kukaba hadi penati leo siku ya sikukuu, wahusika wamekosa visa za kutokea. Sehemu ya...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
....leo nimekuona unakula nyasi za wizi pale Chekereni wakati natoka Dar. Bahati mbaya sikuwa na camera na kamchina kalikuwa kameishiwa charge. Otherwise ningekutoa live hapa ukumbini!
0 Reactions
5 Replies
908 Views
Kwa kipindi kitakatifu kama hiki cha kumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya, sioni dalili yao ya kumaliza tofauti zao pamoja na kuanzisha thead ya kutapishana NYONGO. Nakuomba AshaDii, Mtambuzi...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom